Tukusaidie Nini?

Pata msaada unaohitaji kutumia PigaPay vizuri

Msaada Saa 24 Chati Nasi Msaada kwa Barua Pepe Maswali na Majibu

Maswali

Majibu ya maswali yanayoulizwa sana kuhusu PigaPay

Soma Maswali

Msaidizi wa AI

Uliza msaidizi wetu wa AI, ujibiwe papo hapo

Chati Nasi

Msaada kwa Barua Pepe

Tutumie barua pepe na tutakujibu ndani ya saa 24

Tutumie Barua Pepe

Tupigie Simu

Ongea moja kwa moja na timu yetu

Msaada Saa 24

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Majibu ya haraka ya maswali yanayoulizwa sana

Mnapokea malipo kwa njia gani?
Wateja wanalipa kwa pesa kwa simu: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money na HaloPesa. Malipo ya kadi na benki yako kwenye mpango.
Kuna gharama ya kuanza?
Hapana, hakuna gharama ya kuanza. Ukishafungua akaunti unaanza kutumia PigaPay papo hapo.
Naweza kubadilisha kifurushi changu?
Ndiyo. Hamia kifurushi kikubwa wakati wowote kwa kukilipia kwenye ukurasa wa Kifurushi, au rudi kwenye kifurushi cha bure cha Starter wakati wowote.
Kuna kifurushi cha bure?
Ndiyo! Kifurushi cha Starter ni bure kabisa na kina huduma zote za msingi. Panda kifurushi biashara yako ikikua.
Malipo ya kifurushi yanafanyikaje?
Unalipa kila mwezi au kila mwaka kwa pesa kwa simu. Vifurushi havijirudii vyenyewe: lipa tena kuendelea, la sivyo unarudi kwenye kifurushi cha bure cha Starter.
Kuna mkataba?
Hapana, hakuna mkataba wa muda mrefu. Uko huru kusitisha au kubadilisha kifurushi muda wowote.
Kiingereza Ripoti tatizo la malipo

Ongea nasi

Piga simu+255 678 520 538
Barua pepepay@pigatech.com