Tuma link, lipwa popote

Tuma anwani yako ya malipo kwa WhatsApp au SMS. Mteja analipa kwa simu yake.

Jifunze zaidi

Pokea malipo
kutoka popote

M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money na HaloPesa, vyote sehemu moja.

Ijue PigaPay

Kila malipo
sehemu moja

Ona kila malipo yanapokamilika, pakua ripoti zako na toa pesa unapohitaji.

Ona inavyofanya kazi

API za malipo kwa developers

Unganisha PigaPay na mfumo wako kwa API rahisi na webhooks. Jaribu kwanza kwa funguo za majaribio, hakuna pesa inayohama

Soma maelekezo

Usalama
uko ndani

Biashara zilizothibitishwa, kuingia kwa hatua mbili na kusubiri kwa malipo kwenda akaunti mpya.

Jifunze zaidi

Malipo kwa simu ,rahisi kwa kila mtu

Pokea pesa kwa M-Pesa, Mixx, Airtel Money na HaloPesa, zote sehemu moja.

Anza bure

Michango ya kikundi, bila daftari

Kikundi, harusi au sherehe: tuma link moja na kila mchango unahesabiwa wenyewe.

Ona Michango

Duka la mtandaoni?
Lipwa kwa simu

Pakua plugin ya WooCommerce bure, au unganisha duka lako kwa PHP, Python, Node.js, Java au C#.

Pakua plugin
Pokea malipo kwaMteja analipa kwa simu yake
M-Pesa M-Pesa
Mixx by Yas Mixx by Yas
Airtel Money Airtel Money
HaloPesa HaloPesa
Toa pesa kwendaPesa yako inaenda kwenye simu au benki yako
M-Pesa M-Pesa
Mixx by Yas Mixx by Yas
Airtel Money Airtel Money
HaloPesa HaloPesa
Akaunti ya benkiCRDB, NMB, NBC na nyingine

Huduma Zetu

Kila unachohitaji kukuza biashara yako

Pesa kwa Simu

Wateja wanalipa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au HaloPesa.

M-Pesa · Mixx · Airtel · Halo

Linki za Malipo

Shiriki linki au QR code kwa WhatsApp, SMS au mitandao ya kijamii.

linki · QR code

Ukurasa wa Malipo

Ukurasa wa malipo wa PigaPay kwa tovuti yako; wateja wanarudi wakishalipa.

tovuti yoyote

Kutoa Pesa

Toa pesa kwenda pesa kwa simu au akaunti ya benki.

pesa kwa simu · benki

Ripoti za Miamala

Kila malipo, ada na utoaji wa pesa, pamoja na kupakua kwa Excel (CSV).

ripoti · kupakua

Usalama wa Akaunti

Kuingia kwa hatua mbili, biashara zilizothibitishwa na kusubiri kwa malipo kwenda akaunti mpya.

2FA · kusubiri malipo

Kuunganisha kwa API

REST API yenye hali ya majaribio, webhook zilizosainiwa na maktaba ya PHP.

REST · webhook

Akaunti za Timu

Akaunti za kuingia kwa keshia, mameneja na wahasibu.

nafasi · ruhusa

Kwa Nini PigaPay?

Sababu za kutuchagua
Mitandao Yote 4 ya Pesa kwa Simu
Miamala Salama
Taarifa za Malipo Papo Hapo
Biashara Zilizothibitishwa
Kiingereza Ripoti tatizo la malipo

Ongea nasi

Piga simu+255 678 520 538
Barua pepepay@pigatech.com