Shirikiana na PigaPay

Jenga juu ya PigaPay, leta biashara kwenye PigaPay, au pokea malipo ya taasisi yako yote.

Developers Mawakala Taasisi

Wasanidi na kampuni za teknolojia

Jenga tovuti na mifumo ya wateja wako yenye malipo ya PigaPay ndani: ukurasa wa malipo, linki za malipo, webhook na key za majaribio.

SDKs na mifano

Mawakala

Saidia maduka, shule na watoa huduma walio karibu nawe kujisajili na kuanza kupokea malipo kwa simu.

Ongea nasi

Taasisi na majukwaa

Pokea malipo ya matawi, miradi au app nyingi kwa akaunti moja, kila moja ikiwa na API key na webhook yake.

Ongea nasi

Tuongee

Piga simu au WhatsApp +255 678 520 538, au tuma barua pepe pay@pigatech.com.

Kiingereza Ripoti tatizo la malipo

Ongea nasi

Piga simu+255 678 520 538
Barua pepepay@pigatech.com