PigaPay kwa Windows
Kwa Windows 10 na 11 (64-bit). PigaPay inakaa karibu na saa (tray) na inakujulisha malipo yanapoingia.
Pakua kwa WindowsPigaPay kwa Android
Kwa simu za Android (Android 7 na kuendelea). Inakuja Google Play hivi karibuni; kwa sasa, isakinishe kutoka hapa.
Pakua kwa AndroidJinsi ya kusakinisha
Windows
- Fungua faili ulilopakua.
- Windows ikisema imelinda kompyuta yako, bofya "More info" kisha "Run anyway". App ni mpya, kwa hiyo Windows bado haijaifahamu.
- Fuata hatua. Hakuna haja ya nenosiri la msimamizi (administrator).
- Ingia kwa email au namba ya simu ya PigaPay, au kwa Google.
Android
- Fungua faili ulilopakua.
- Simu ikiuliza, ruhusu browser yako kusakinisha app.
- Gusa "Install", kisha fungua PigaPay.
- Ingia kwa email au namba ya simu ya PigaPay, au kwa Google.
Pakua kutoka hapa tu
Pata app ya PigaPay kutoka ukurasa huu tu (na Google Play itakapokuwepo). PigaPay haitumi app kwa WhatsApp wala kwa SMS.