Bei Rahisi, Hakuna Gharama Zilizojificha

Chagua kifurushi kinachofaa biashara yako. Hakuna gharama zilizojificha.

Unalipa kila mwezi

Starter

Bure

Kwa biashara ndogo zinazoanza

  • Hadi malipo 100 kwa mwezi
  • Mitandao yote minne ya pesa kwa simu
  • Linki za malipo, QR code na kurasa za malipo
  • API, webhook na hali ya majaribio
  • Akaunti za timu na malipo yanayogawanywa
  • Msaada kwa barua pepe na simu
Anza Sasa

Enterprise

TSh 5,000 / mwezi

Kwa biashara kubwa zenye mahitaji maalum

  • Malipo bila kikomo
  • Mitandao yote minne ya pesa kwa simu
  • Linki za malipo, QR code na kurasa za malipo
  • API, webhook na hali ya majaribio
  • Akaunti za timu na malipo yanayogawanywa
  • Msimamizi maalum wa akaunti na msaada wa kipaumbele
Anza Sasa

Linganisha Vifurushi

Ona kila kifurushi kina nini, uchague kinachokufaa

Huduma Starter Business Enterprise
Miamala/mwezi 100 2,000 Bila kikomo
M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa
Linki za Malipo na QR Code
Ukurasa wa Malipo
API, Webhook na Hali ya Majaribio
Ripoti za Miamala na Kupakua
Akaunti za Timu
Malipo Yanayogawanywa
Kutoa Pesa kwenda Simu au Benki
Mhudumu Maalum
Msaada Barua pepe na simu Haraka Kipaumbele + msimamizi wa akaunti

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Unachohitaji kujua kuhusu bei zetu

Mnapokea malipo kwa njia gani?

Wateja wanalipa kwa pesa kwa simu: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money na HaloPesa. Malipo ya kadi na benki yako kwenye mpango.

Kuna gharama ya kuanza?

Hapana, hakuna gharama ya kuanza. Ukishafungua akaunti unaanza kutumia PigaPay papo hapo.

Naweza kubadilisha kifurushi changu?

Ndiyo. Hamia kifurushi kikubwa wakati wowote kwa kukilipia kwenye ukurasa wa Kifurushi, au rudi kwenye kifurushi cha bure cha Starter wakati wowote.

Kuna kifurushi cha bure?

Ndiyo! Kifurushi cha Starter ni bure kabisa na kina huduma zote za msingi. Panda kifurushi biashara yako ikikua.

Malipo ya kifurushi yanafanyikaje?

Unalipa kila mwezi au kila mwaka kwa pesa kwa simu. Vifurushi havijirudii vyenyewe: lipa tena kuendelea, la sivyo unarudi kwenye kifurushi cha bure cha Starter.

Kuna mkataba?

Hapana, hakuna mkataba wa muda mrefu. Uko huru kusitisha au kubadilisha kifurushi muda wowote.

Kiingereza Ripoti tatizo la malipo

Ongea nasi

Piga simu+255 678 520 538
Barua pepepay@pigatech.com