Wasanidi na kampuni za teknolojia
Jenga tovuti na mifumo ya wateja wako yenye malipo ya PigaPay ndani: ukurasa wa malipo, linki za malipo, webhook na key za majaribio.
SDKs na mifanoMawakala
Saidia maduka, shule na watoa huduma walio karibu nawe kujisajili na kuanza kupokea malipo kwa simu.
Ongea nasiTaasisi na majukwaa
Pokea malipo ya matawi, miradi au app nyingi kwa akaunti moja, kila moja ikiwa na API key na webhook yake.
Ongea nasiTuongee
Piga simu au WhatsApp +255 678 520 538, au tuma barua pepe pay@pigatech.com.