Kuunganisha

Njia za kupokea malipo ya PigaPay leo, ukiwa na msanidi au bila

Tovuti au app yoyote Linki za malipo bila code Hali ya majaribio Webhook zilizosainiwa

Linki za Malipo

Tengeneza linki kwenye dashibodi yako na uishiriki kwa WhatsApp, SMS au mitandao ya kijamii. Huhitaji tovuti.

Bila code
Inapatikana Fungua akaunti

Malipo kwa QR Code

Kila linki ya malipo ina QR code ya kuchapisha kwa ajili ya dukani au kwenye risiti.

Ana kwa ana Bila code
Inapatikana Anza

Ukurasa wa Malipo

Wapeleke wateja kutoka tovuti yako kwenda ukurasa wa malipo wa PigaPay; wanarudi wakishalipa.

Tovuti yoyote
Inapatikana Mafunzo

REST API

Omba malipo na uyakague kutoka mfumo wowote: Java, .NET, Go, app za simu na mengineyo.

Developers
Inapatikana Mwongozo wa API

Maktaba ya PHP

Faili moja, bila vifurushi: malipo, kurasa za malipo na kuhakiki saini za webhook.

PHP
Inapatikana Pakua

Node.js, Python na cURL

Mifano tayari ya kunakili kwa lugha zinazotumika zaidi.

Developers
Inapatikana Mifano

Webhooks

PigaPay inaiambia seva yako mara malipo yanapokamilika, yakiwa yamesainiwa na kurudiwa hadi ujibu.

Developers
Inapatikana Webhooks

Hali ya Majaribio

Jenga kwa key ya majaribio: hakuna simu inayoguswa wala pesa inayotumwa.

Developers
Inapatikana Jinsi ya kujaribu

WordPress na WooCommerce

Plugin ya kupokea malipo ya PigaPay kwenye maduka ya WordPress na WooCommerce. Kwa sasa, tumia ukurasa wa malipo au linki za malipo.

Maduka ya Mtandaoni
Kwenye mpango

Unatumia mfumo mwingine?

Tuambie mfumo unaotumia. Ukurasa wa malipo na linki za malipo vinafanya kazi na karibu kila tovuti leo, na tunaweza kukusaidia kuunganisha.

Ongea na Timu Yetu
Kiingereza Ripoti tatizo la malipo

Ongea nasi

Piga simu+255 678 520 538
Barua pepepay@pigatech.com