Anza na PigaPay

Jiunge na biashara 10+ zinazolipwa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money na HaloPesa.

10+ Wafanyabiashara Wanaotumia
4 Mitandao ya Pesa kwa Simu
2 Lugha: Kiingereza na Kiswahili
24/7 Malipo Yanafanya Kazi

Akaunti ya Biashara

Kwa biashara iliyosajiliwa. Pokea malipo, unganisha mifumo yako na ukuze timu yako.

  • App ya keshia, duka la mtandaoni na malipo kwa wengi
  • API key na webhook kwa mifumo yako
  • Wanatimu wenye majukumu yao
  • Inahitaji TIN na cheti cha biashara
Fungua Akaunti ya Biashara

Unachohitaji Kuanza

Haya ndiyo unayohitaji kwa kila akaunti

Akaunti Binafsi

Namba ya Simu Tunatuma namba ya uthibitisho kuhakikisha ni yako. Weka na barua pepe kama unayo
Majina Yako 3 Kama yalivyo kwenye NIDA yako
Kitambulisho Kimoja Namba ya NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura au Leseni ya Udereva, baada ya kuingia

Akaunti ya Biashara

Taarifa za Biashara Jina la biashara, namba ya usajili (ikiwa ipo) na mawasiliano
Barua Pepe Barua pepe inayofanya kazi, kwa ajili ya kuthibitisha akaunti na mawasiliano
Namba ya Simu Namba ya simu inayotumika, kwa SMS za uthibitisho na usalama
Kitambulisho Kitambulisho cha serikali (NIDA, pasipoti au leseni ya udereva)
Akaunti ya Benki ya Biashara Akaunti ya benki au namba ya pesa kwa simu ya kupokelea pesa zako
Taarifa za Kodi Namba ya TIN au taarifa za usajili wa VAT (ikiwa zipo)
Kiingereza Ripoti tatizo la malipo

Ongea nasi

Piga simu+255 678 520 538
Barua pepepay@pigatech.com