Mwongozo wa API
Maelezo kamili ya API
SDKs
Libraries na zana
Webhooks
Taarifa za malipo papo hapo
Hali
Hali ya mfumo
SDK na Libraries
Tumia PigaPay kwenye lugha ya programu unayotumia
Endpoints Zinazotumika Zaidi
Endpoints za kuanzia
POST
Anzisha Malipo
/api/v1/payments
Tuma ombi la malipo kwa simu ya mteja
- Kiasi na kumbukumbu
- Simu ya mteja
- Nani analipa ada
- Mgawanyo
GET
Pata Hali ya Malipo
/api/v1/payments/{id}
Pata hali na taarifa za malipo
- Hali
- Ada na kiasi halisi
- Kumbukumbu ya mtoa huduma
POST
Tengeneza Ukurasa wa Malipo
/api/v1/checkout
Ukurasa wa malipo wa PigaPay wa kumpeleka mteja wako
- Kiasi na maelezo
- Anwani za kurudi
- Muda wa kuisha
GET
Orodha ya Malipo
/api/v1/payments
Malipo yako, mapya kwanza
- Chuja kwa hali
- Chuja kwa tarehe
- Kurasa
Mifano ya Code
Mifano ya haraka ya kuunganisha PigaPay
// Create a new payment with PHP
require_once 'vendor/autoload.php';
$client = new PigaPay\Client('your_api_key');
$payment = $client->payments->create([
'amount' => 10000,
'currency' => 'TZS',
'method' => 'mobile_money',
'customer' => [
'name' => 'John Doe',
'phone' => '+255700000000',
'email' => 'john@example.com'
]
]);
// Check payment status
echo "Payment ID: " . $payment->id;
Uko Tayari Kuanza?
Anza kutumia API za PigaPay leo.
Soma Maelezo Yote